Dodoma FM

Wadau Ihumwa waishukuru Dodoma fm

2 February 2023, 4:35 pm

Mtangazaji wa Dodoma fm Leornad Mwacha katika kipindi cha Kapu kubwa.Picha na Martha Mgaya

Wakiwa kwenye mahojiano leo Leornad Mwacha na Mdau kutokea Ihumwa ndugu Julius Chedego wamezungumza na mdau huyo kutoa shukrani zake juu ya radio hiyo.

Na Martha Mgaya

Mmoja wa wadau wa Dodoma fm Bwana Julius Chedego leo katika kipindi cha kapu kubwa kinachorushwa na Dodoma fm Radio amekuja kuwashukuru na kusema kuwa kwa msaada wa radio hiyo wameweza kutatuliwa changamoto zao mbalimbali zinazo wakabili huko Ihumwa, Ikiwemo changamoto ya mtaro iliyokuwa ikiwakabiri.

Mazungumzo ya Leornad Mwacha na Julius Chedego.