Ufafanuzi juu ya miundombinu maji taka
Dodoma FM

Balozi afafanua juu ya Miundombinu ya Maji taka

31 January 2023, 12:02 pm

Miundombinu mibovu ya maji taka. Picha na Martha Mgaya.

Balozi wa mtaa wa Bahiroad mariamu omary amelazimika kutoa ufafanuzi juu ya miundombinu ya maji taka.

Na Leonard Mwacha

Alitoa ufafanuzi huo juu ya shutuma zinazoelekezwa kwa wenye nyumba juu ya kuhusika na uharibifu wa miundombinu ya maji taka.

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa.