Dodoma FM

Umuhimu Wa Elimu Ya Chanjo Ya Uviko 19

28 January 2023, 9:46 am

Na; Mariamu Matundu.
Imeelezwa kuwa bado chanjo ya uviko 19 inaendelea kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya kote nchini na hivyo wananchi wametakiwa kwenda kupata elimu ya umuhimu wa chanjo hiyo na kuchukua maamuzi ya kuchanja.
Mariam matundu amefanya mazungumzo na kaimu mkurugenzi msaidizi wa elimu ya afya kwa umma idara ya kinga wizara ya afya Dkt Tumaini Haonga na amemuliza ni upi umuhimu wa wazazi kuchanja chanjo hii ya uviko 19.