Dodoma FM

Matumbulu walalamika gharama za umeme

22 January 2023, 10:18 am

Na; Mindi Joseph.

Gharama kubwa ya kuunganisha umeme wa TANESCO katika  mtaa wa Kusenha kata ya Mpungunzi imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi kuunganisha umeme huo.

Gharama za kuunganisha umeme wa TANESCO ni zaidi ya laki tatu tofauti na umeme wa rea ambao ni elfu 27.

Kaimu mwenyekiti wa mtaa wa Kusenha Francis Anania amebainisha mataraji ya wananchi ilikuwa na kupata umeme wa Rea lakini hali imekuwa tofauto.

Mindi Joseph anayo taarifa zaidi…………………………………….