Dodoma FM

Jamii na dhana ya kubemenda mtoto

12 January 2023, 2:22 pm

Na; Mariam kasawa

Dhana ya kubemenda mtoto ni dhana ambayo imekuwa ikiaminiwa na jamii nyingi za Afrika hususani Nchini Tanzaniaa.

Makabila tofauti yamekuwa na utaratibu wao pindi mama anapo jifungua na wakati wa kulea mtoto baba na mama hufundishwa na wazee au jamii inayo wazunguka au wazazi kuzingatia baadhi ya miiko au mila na desturi ili kuepuka kumbemenda mtoto.

Je kwa upande wa wataalamu wa Afya wanazungumziaje dhana hii na je kuna ukweli wowote kuwa tendo la ndoa lina husishwa na kubemenda mtoto MID WIFE  Anitha Fransis anatuelezea Zaidi.

.