Dodoma FM

Kiti mwenzo chamuwezesha Agness kurudisha tabasamu.

7 December 2022, 11:41 am

Na; Mariam Matundu.

Familia ya mtoto Agnesi inayoishi kata ya makang’wa wilayani chamwino imerejesha matumaini baada ya diwani wa viti maalumu kumsaidia binti yao kiti mwenzo kinachomuwezesha kufika shule .

.