Dodoma FM

Jamii yatakiwa kuzingatia aina ya ulaji wa vyakula pamoja na mitindo ya maisha

4 February 2022, 3:05 pm

Na ;Fred Cheti.    

Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya ugonjwa wa Saratani Duniani ushauri umetolewa kwa jamii kuzingatia aina ya ulaji wa vyakula  pamoja na aina  ya mitindo ya maisha kwani ni miongoni mwa sababu  sababishi ya  tatizo hilo.

Ni moja kati ya magonjwa hatari zaidi duniani huku watu wengi wakipata ugonjwa huo kwa sababu tofauti  Dkt. Caroline Mrema ni daktari bingwa wa saratani  kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa  hapa anazungumzia sababu zinazoweza kusababisha tatizo hilo

Lakini vip kwa upande wa mkoa wa Dodoma tatizo hilo la ugonjwa wa saratani lipo kwa kiasi gani?

Siku ya Saratani Duniani huadhimishwa kila ifikapo Februari 4 kila mwaka na katika kupambana ili kutokomeza tatizo hilo Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limeweka mikakati ya kuongeza huduma za kukabiliana na tatizo hilo  katika nchi zenye kipato cha chini na cha wastani.