Dodoma FM

Dodoma jiji kucheza na Azam FC kesho uwanja wa Jamhuri Dodoma

21 April 2021, 12:50 pm

Na; Matereka Junior

Makocha wa timu zote mbili Dodoma jiji na Azam  fc wamezungumzia maandalizi yao ya  mwisho kuelekea  mchezo wao wa kesho Alhamis katika uwanja wa Jamhuri.