Dodoma FM

Azam kucheza na JKT Tanzania kesho Jamhuri Dodoma

15 April 2021, 2:14 pm

Na; Matereka Junior.

Kikosi cha Azam tayari kipo  Dodom na msafara wa wachezaji 25 na benchi la ufundi kwaajili ya  kucheza na Timu ya JKT Tanzania kesho saa nane mchana katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.