Dodoma FM

Matukio katika picha Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma

22 March 2021, 8:57 am

Na; Mariam Kasawa

Viongozi mbalimbali wakiwa uwanja wa Jamhuri katika tukio la kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli.

Zoezi la kumuaga Hayati Dkt. John Maguli likiwa linaendelea katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Dodoma.

Wananchi wamekumbushwa kuendelea kujipanga pembezoni mwa barabara ambazo mwili wa Hayati Magufuli utapitishwa ili kutoa heshima za mwaisho.

Zoezi hilo linatarajia kuanza hivi punde baada ya makundi mbalimbali kukamulisha zoezi la kuaga uwanjani hapo.