Dodoma FM

viongozi wa Jeshi wakagua mandalizi ya kumuaga Rais Hayati Magufuli Dodoma

March 21, 2021, 9:51 am

Na; Mariam kasawa

Viongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wamekagua ujenzi wa banda ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuupokea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Mtukio katika picha

Jukwa kuu likisafishwa

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge akizungumza na wajumbe wa kamati za maandalizi walipokuwa wakikagua maendeleo ya maandalizi kwenye Uwanja wa Jamhuri