Dodoma FM

Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan kuapishwa leo kushika wadhifa wa Urais

19 March 2021, 5:39 am

Na, Mariam Kasawa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ataapishwa leo Machi 19, 2021 kushika wadhifa wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

 Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Dar es salaam kuanzia majira ya saa 4:00  asubuhi hii.