Radio Tadio

Ushirikiano

15 March 2023, 11:48 am

Parokia ya Katumba Yatoa Msaada kwa Watoto Yatima

MPANDA Katika kuazimisha kipindi cha mfungo wa kwaresima parokia ya kanisa katoliki Katumba imetoa msaada wa zaidi ya laki saba kwa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaotoka katika mazingira magumu  kilichopo kata ya nsemlwa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.…

15 August 2022, 6:48 am

Rais Samia kuongoza Ujumbe wa Tanzania DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atarajia kuwasili jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jumanne ya Agosti 16,2022, katika Mkutano wa kawaida wa 42 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Rais…