
News

12 September 2023, 1:09 pm
Viongozi ushirika watakiwa kutekeleza kwa vitendo vipaumbele saba
Kikao kazi kati ya Mrajis na Vyama vya Ushirika vya Upili na Benki ya Ushirika kimefanyika Dodoma kwa siku mbili Septemba 11 na 12 mwaka huu wa 2023 ambapo wadau wamepata fursa ya kutathmini na kujadiliana namna bora ya kuimarisha…

24 August 2023, 3:54 pm
Ifahamu Mazingira FM
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya…

12 July 2023, 3:05 pm
Wilaya ya Kondoa yaagizwa kulipa madeni ya watumishi umma
Halmashauri hiyo imetakiwa kuhakikisha inalipa madeni yote ya watumishi wa umma kabla ya kupokea bajeti ya mwaka wa fedha wa 2023/24. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule ameiagiza halmashauri ya Kondoa kuhakikisha inalipa Madeni yote…