Radio Tadio

KAHAMA

October 2, 2021, 2:34 pm

Kahama:wakurugenzi kusimamia mabaraza ya wazee.

Serikali mkoani Shinyanga imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote sita kuhakikisha wanasimamia na kuyawezesha mabaraza ya wazee ili yaweze kufanya kazi kikamilifu pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shuguli za wazee. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa…

September 13, 2021, 11:14 am

KAHAMA: MLINZI AUAWA KWA KUCHOMWA NA KISU GUEST.

Mlinzi Kampuni ya Ulinzi ya Mast Holding aitwaye STEVEN FELICIAN SAMANDARI (25) ameuawa kwa kuchomwa kisu tumboni na mtu aliyekuwa amemkamata baada ya kuruka uzio akifuatilia wahudumu wa Bar kwa ajili ya mapenzi Mjini Kahama. Kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa…

September 11, 2021, 4:32 pm

Mwanamke auawa akituhumiwa kuwa mchawi.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando Mwanamke aliyejulikana kwa jina la MWALU CHARLES (45) mkazi wa kijiji cha Shilabela kata ya Ulewe wilayani Kahama mkoani Shinyanga amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali huku…