Radio Tadio

Habari za kigoma

18/10/2021, 7:24 pm

Serikali yajipanga kujenga mwalo wa kisasa

Na,Glory Paschal Naibu wa Waziri wa Uvuvi na mifugo ABDALLAH ULEGAamesema Serikali imejipanga kujenga mwalo wa kisasa wa Katonga Manispaa ya Kigoma Ujiji ili wavuvi wapate sehemu Ya kuanika dagaa na kiwanda cha kusindika dagaa. Mh. ULEGA amesema hayo akiwa…

12/10/2021, 5:57 pm

Majangili wawili wakamatwa

Na,Glory Paschal Polisi mkoani Kigoma wamesema kwa nyakati tofauti wamefanikiwa kuwakamata watu wawili wakituhumiwa kujihusisha na ujangili Pamoja na uhalifu mwingine katika matukio mawii tofauti yaliyotokea Oktoba tisa katika Wilaya za Kibondo na Uvinza Kamanda wa Polisi Mkoa wa KigomaJAMES…

08/10/2021, 6:08 pm

Taa za kuongozea magari zenye thamani ya milioni 55 zazinduliwa

Na,Glory Paschal Mkuu wa Mkoa wa Kigoma THOBIAS ANDENGENYE amezindua taa za kuongozea magari na watumiaji wengine wa barabara za njia nne katika barabara ya Lumumba Mjini Kigoma ambazo thamani yake ni Shilingi Milioni 55 Akizungumza mara baada ya kuzindua…

07/10/2021, 5:53 pm

Serikali mbioni kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana

Na,Glory Paschal Waziri wa Nishati JANUARY MAKAMBA amesema serikali iko katika mchakato wa kuhakikisha inafikisha umeme wauhakika Mkoani Kigoma kwa kuunganisha Mkoa huu na Gridi ya Taifa kutoka vituo vya Nyakanazi na Tabora Mh. MAKAMBA ¬†amesema hayo wakati alipotembelea Kituo…

29/09/2021, 7:29 pm

Wajasiriamali wametakiwa kutunza mazingira

Na,Glory Paschal Wajasiriamali nchini wametakiwa kuzingatia elimu ya utunzaji wa mazingira inayotolewa na baraza la uhifadhi wa mazingira NEMC ili kuweka mazingira safi na salama. Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi mkuu wa NEMC Nchini Bw. Samwel Gwamaka wakati akiongea na…

29/09/2021, 6:34 pm

Majambazi watatu wauawa

Na,Glory Paschal Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limefanikiwa kuwaua watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika barabara inayotokea  kijiji cha Kagerankanda kata ya Nyakitonto Tarafa ya Buhoro wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Jeshi…

27/09/2021, 6:48 pm

Serikali kuja na mpango harakishi wa kila mwananchi kupata chanjo

Na, Mwanaid Suleiman Serikali  imesema imekuja na mpango harakishi wa kuhamasisha  chanjo  ya corona ikiwa lengo ni kuhamasisha kila mwananchi anapatiwa chanjo ya corona Hayo yamesemwa na  DR CRESENCIA JOHN kutoka ofisi ya mganga mkuu mkoani kigoma wakati akizungumza na…

16/09/2021, 9:10 pm

Waziri mkuu amewahakikishia wakulima wa mazao ya kimkakati masoko

Na,Glory Paschal Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Mjaliwa Kassim amewahakikishia wakulima wanaolima mazao ya kimakakati nchini kuwawezesha katika mchakato wa kuandaa kulima na kuwatafutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Ametoa kauli hiyo alipotembelea Shamba la michikichi katika  kambi…