Radio Tadio

Geita

August 10, 2021, 2:57 pm

Tamasha la utalii Chato fursa kwa wakazi wa Geita.

Na Mrisho Sadick: Wananchi Mkoani Geita wameshauriwa kutumia fursa  ya maonesho ya utalii yanayoendelea wilayani Chato kwa kufika nakuonesha  bidhaa zao za kiasili  ikiwa ni njia mojawapo ya kujitangaza nakufahamika zaidi. Maonesho hayo yalianza kwa Waendesha mitumbwi 87 kutoka kwenye…

August 9, 2021, 3:47 am

Waendesha bodaboda watoa ya moyoni.

Na Zubeda Handrish: Waendesha pikipiki maarufu Bodaboda mjini Geita wamewalalamikia vitendo vya baadhi ya abiria wenye tabia ya kusema uongo pindi wanapohitaji huduma hiyo ya usafiri. Wameyasema hayo katika egesho lao la kazi la Shilabela Msikitini kuwa baadhi ya abiria husema uongo…

August 9, 2021, 3:19 am

Wachimbaji wafungiwa shughuli zao.

Na Mrisho Sadick: Wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Kanegere namba mbili Wilayani Mbongwe Mkoani Geita ,wameiomba serikali kupitia Wizara ya Madini kuwasaidia kutatua changamoto ambayo inawakabili ya kufungiwa shughuli zao na ofisi ya madini mbogwe kwa muda wa zaidi ya…

August 4, 2021, 7:49 pm

RC Geita azindua Chanjo kwa kuchanjwa.

Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Bi Rosemary Senyamule ametoa onyo kwa watumishi wa afya na vituo binafsi vyakutolea huduma za Afya watakaobainika wakiwauzia wananchi chanjo ya kujikinga na corona. Mkuu wa Mkoa huyo  Senyamule ametoa kauli hiyo…

August 4, 2021, 4:54 am

Upatikanaji wa huduma za afya bado ni changamoto.

Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya mji wa Geita bado inakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya kwa baadhi ya maeneo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa watumishi pamoja na kushindwa kukamilika kwa majengo ya Zahanati. Hayo yamebainishwa…

August 3, 2021, 2:26 pm

Shamba la migomba lafyekwa Geita.

Na Zubeda Handrish: Shamba la migomba lenye ukubwa wa ekari mbili limeharibiwa na watu wasiojulikana ikisemekana kuwa chanzo cha uharibifu huo ni mgogoro wa Ukoo dhidi ya Shamba hilo. Mmiliki wa Migomba hiyo Bw. Faida Lunsalia amesikitishwa na kitendo hicho…

August 3, 2021, 2:19 pm

Mtoto alishwa kinyesi Ikulwa.

Na Zubeda Handrish: Mtoto wa darasa la nne ambaye ni mkazi wa kata ya Ikulwa mkoani Geita anadaiwa kulishwa kinyesi na mama yake mlezi (wa kambo) ikisemekana chanzo ni ugomvi wa wazazi. Afisa maendeleo katika kata hiyo Bi. Tabisa James Yawanga amesikitishwa…

August 3, 2021, 1:54 pm

Duka laungua moto.

Na Zubeda Handrish: Duka la vyombo la vyumba viwili limeungua moto katika mtaa wa Mission uliopo katika halmashauri ya mji wa Geita huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika. Mmiliki wa duka hilo Bw. Venas John Mpalamawe amesikitishwa na tukio…

August 3, 2021, 1:33 pm

Mfumo wa uchukuaji taka ni kero kwa wakazi.

Na Zubeda Handrish: Wakazi wa mtaa wa Nyerere Road katika halmashauri ya mji wa Geita, wameuomba uongozi wa serikali ya mtaa huo kusimamia suala la uchukuaji  wa taka katika makazi yao kwakua magari yanayobeba taka hizo hupita barabara kuu pekee…