Baraka FM

Afya

19 September 2023, 12:46

Vikundi vya usafi vyaomba ushirikiano maeneo wanayofika kufanya usafi

Mazingira ni sehemu yoyote inayomzunguka binadamu na mazingira hayo ili kuepusha athari ikiwemo magojwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu hayana budii kuyalinda kwa kuhakikisha yanakuwa safi wakati wote. Na Sadoki Mwaigaga Wafanyabiashara wa soko la Sido jijini Mbeya wameshauriwa kutoa ushirikiano…

18 September 2023, 20:14

Toeni ushirikiano watoto wapate chanjo ya polio

Msingi wa binadamu ni afya na unapo kuwa na afya ni lazima uilinde,katika maisha ya binadamu yeyote wakati anazaliwa ni lazima apewe ulinzi wa afya yake kwa kupatiwa chanjo ya magonjwa mbalimbali,hivi karibuni serikali imekuwa na msisitizo wa kila mtanzania…

11 September 2023, 12:49

Fahamu jinsi mifumo ya maisha inavyosababisha ongezeko la magonjwa

Katika maisha ya binadamu kumekuwa na mifumo mbalimbali ya maisha, ambapo watanzania walio wengi wana tabia ya kutozingatia afya hasa katika suala la ulaji hali inayowafanya wakumbwe na magonjwa mbalimbali. Na Hobokela lwinga Kutokana na mifumo mbalimbali ya maisha kuchangia…